Dawa ya kufanya miguu iwe ya bia

happy amos

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
251
Reaction score
434
msaada wakuu mwenye dawa au anaefaham ambapo dawa inauzwa ya kufanya miguu iwe ya bia kwani nashindwa kuvaa kimini cha msingi isiwe na madhara kwa badae
 
Mkuu taratibu naona unataka kumrekebisha muumba.Ridhika na kile ulicho nacho.
 
hii mupya..lol
jf is never boring ....lol

changamoto kwa wajasiriamali lol
 
msaada wakuu mwenye dawa au anaefaham ambapo dawa inauzwa ya kufanya miguu iwe ya bia kwani nashindwa kuvaa kimini cha msingi isiwe na madhara kwa badae

Nyuma vipi kumekamilika? Anza kubebesha nyuma kwanza na kupiga jeki kifua halafu miguu itajipa tu.
 
Mimi naomba dawa niwe mrefu angalau nifikie 1.7m!
 
msaada wakuu mwenye dawa au anaefaham ambapo dawa inauzwa ya kufanya miguu iwe ya bia kwani nashindwa kuvaa kimini cha msingi isiwe na madhara kwa badae
Mimi mwenyewe haya mamiguu ya bia yananilemea, kumbe mwenzetu unayahitaji?
 
Kunywa bia aina ya bingwa.
Hakikisha kwa siku unakunywa bingwa tano mpaka saba.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tafuta duduwasha upake kutwa mara tatu,na ***** x2 kwa siku(joking)
 
msaada wakuu mwenye dawa au anaefaham ambapo dawa inauzwa ya kufanya miguu iwe ya bia kwani nashindwa kuvaa kimini cha msingi isiwe na madhara kwa badae

Shida yako ni kuvaa kimini tu! Pole binti!
 
wabongo bwana mimi sijaomba ushauri nimeomba tiba mbadala sasa ushauri tena wa nini
 
Shida yako ni kuvaa kimini tu! Pole binti!

makubwa kumbe kuvaa kimini mpaka uwe na mguu wa bia? utapitwa na wakati, wee tupia swaga uzipendazo usiangalie uguuu
 
wadada wa siku hizi si mnajifanya kuwa mnamjua sana Mungu? Basi ongea nae akubadilishie!
 
hahahahahaaaa....uuuuwiiii...me looove ths...aisee cdhani kama dawa ya hili tatizo lako exists...utaishia kupata kigimbi cha ajabu bure mini yako usiivae kabisa
 
dawa imepatikana...!
Piga squats kama hamsini kila asubuhi unapoamka na jioni saa 12.
Au kama unaishi karibu na miinuko,pandisha kilima kama mita 200 hivi asubuhi kabla ya chai.
Ukifanya haya kwa mwezi mmoja utaona matokeo mazuri.

Madhara;zingatia masharti kwani ukizidisha dose waweza kuota vigimbi.

Kwa ushauri zaidi ni PM au soma makala zinazohusu 'law of use and disuse'
 
piga gym mamaa, lakini kama huna, huna tu............lakini nimekupestia hii:

The best way to get thicker legs is to lift wieghts. You can't just eat alot and pray the fat goes to your legs. If you are skinny all over you may want to do weight training on all your body so you don't look like a freak with big legs. If you are big with skinny legs weight training is the best way to get bigger legs and take some weight off of the rest of your body
Being thick and healthy comes from genes, and good eatin. I'm not saying get fat. But you cant just up, and work youself up to those girls. Expecially being An African American female the majority of us have natural curves,big legs, and big booties; we are blessed with them. So don't try to live up to the women you see on tv, most of them our born that way. The more exercise you do, the more fat you burn, which can make you decrese your curves. (try running, leg curls, leg extentions, and stair master exercises, they shape your bottom) So if you come from a family, and your mom, or her mom, or other women in the family really don't have any curves, or are thick like that. Than most likely, you will not be. So remember its Genetics, and weight, the proportions of your body, and how you are shaped. Not everyone can obtain the same amount of body muscle, so you might only gain a little, or you might gain a lot.
 
msaada wakuu mwenye dawa au anaefaham ambapo dawa inauzwa ya kufanya miguu iwe ya bia kwani nashindwa kuvaa kimini cha msingi isiwe na madhara kwa badae

Jaribu kwenda kupanda vilima vya Lushoto,chupa ya bia itakuja automatically. No chemicals!
 
Hivi Wachina hawajafika jumu jamvini, naamini 'wangepika' dawa ya kuotesha vigimbi, maana hawa dada zetu wameshiba na sasa wataka kumfurahisha nani...wala si Mungu.
Kila kitu ni dili aisee..nimekosa bahati ya kutengeneza faida. Wajinga ndio waliwao.
 
Vaa kimini usiku. Anyway, muulize msanii LINAH alikuwa na fito lakini sasa miguu yake supa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…