dawa ya kufuta alama za viwembe usoni!

dawa ya kufuta alama za viwembe usoni!

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
jaman kuna dawa ya kufuta alama za kukatwa wembe sehemu za usoni hapo zaman? niliwai kusikia kuna dawa ya kuzifuta alama hizo kama ndo zinakauka tu!
 
Viwembe..!
Usoni..!
Kwani ulifanyaje?
 
Kuna thread inafanana na hii, lakini yenyewe ilikuwa ni habari ya makovu ingawa haikueleza makovu ya namna gani, kwa mujibu wa moja ya majibu ya hitaji la kutoa makovu ilikuwa ni kwenda pale HS Amon, maeneo ya posta kama sikosei ni jengo la NPS posta!

Nenda kapate uhakika pale!
 
Kuna
thread inafanana na hii, lakini yenyewe ilikuwa ni habari ya makovu
ingawa haikueleza makovu ya namna gani, kwa mujibu wa moja ya majibu ya
hitaji la kutoa makovu ilikuwa ni kwenda pale HS Amon, maeneo ya posta
kama sikosei ni jengo la NPS posta!

Nenda kapate uhakika pale!

nashukuru sana. Sema nasikitika mambo yote ni DSM. Mi niko nchi jiran ya maziwa makuu lakin nampa ndugu yangu aliyeko DSM jukum.
 
suruhisho la matatizo ya ngozi tunayo! kama unatatizo lolote la ngozi usione aibu tunayo creme inayoondoa makovu na kurudisha ngozi katika hali yake ya kawaida! kwa kutumia creme hii itakurudishia confidence na kkwa kuwa mrembo na mtanashati! wasiliana nasi whatsapp 0764014285
 
Back
Top Bottom