kukatwa kiwembe na vibaka. nadhan umenielewa kwa wingi.
Kuna
thread inafanana na hii, lakini yenyewe ilikuwa ni habari ya makovu
ingawa haikueleza makovu ya namna gani, kwa mujibu wa moja ya majibu ya
hitaji la kutoa makovu ilikuwa ni kwenda pale HS Amon, maeneo ya posta
kama sikosei ni jengo la NPS posta!
Nenda kapate uhakika pale!