T trigger Member Joined Nov 30, 2011 Posts 95 Reaction score 25 Mar 16, 2013 #1 Wana jamvi habar za kaz mie nauliza kuna dawa yoyote kwa mtu ambae ndio kwanza kaconcive kujaa mate mdomon,msaada plzzz shemej yangu hali yake mbaya mpaka kazin haendi kwa ajil hyo
Wana jamvi habar za kaz mie nauliza kuna dawa yoyote kwa mtu ambae ndio kwanza kaconcive kujaa mate mdomon,msaada plzzz shemej yangu hali yake mbaya mpaka kazin haendi kwa ajil hyo
sokwe JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 2,022 Reaction score 1,059 Mar 16, 2013 #2 Hiyo inaitwa morning sickness ni mabadiliko ya homoni Hakuna tiba itakwisha baada ya miezi michache kupita.
Hiyo inaitwa morning sickness ni mabadiliko ya homoni Hakuna tiba itakwisha baada ya miezi michache kupita.