Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sanaKwenye kinyesi mkuu
Ascarex fatilia hiyoWakuu habari yenu, naomba kufahamu dawa inayoweza kusaidia kuondoa shida hiyo ya minyoo(flatworms) katika kuku wangu. Nimejaribu kutafuta maduka ya madawa ya mifugo nilipo sijapata jawabu.