dawa ya kukuza kuku kwa wiki 3

Eliamini

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2012
Posts
609
Reaction score
734
wakuu kwa wle wafugaji wa broilers wazoef kuna mtu alinambia kuna dawa ya kuchanganya katika chakula cha kuku kinachowakuza kwa wiki 3 wanakua tayar kwa kuuzwa, kwa anayeifaham hiyo dawa naomba msaada wa jina,gharama na mahali inopopatikana mimi nipo kigamboni
 
hamna bana kuna dawa na cyo ARV
 
mi mwenyewe nahitaj kuijua kwa wale ambao ni wazoefu wa ufugaj coz mi ndo nimeanza ufugaj
 
Dawa ni chakula kizuri na maji ya kutosha bila kusahau joto na chanjo zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…