Ndugu ishu siyo mla rushwa,ila mikataba mingi mibovu ilishaingiwa na inafanya kazi kwa mjibu wa sheria na katiba iliyopo.Kwani umesikia hakuna sheria na taratibu za kuwajibisha wezi na wala rushwa?
Rasimu ya Katiba Mpya( Rasimu ya Warioba) ilishatumbuliwa na CCM. CCM walishaintarahamwe Rasimu ya Katiba Mpya. Wametupatia Rasimu ya Chenge na Sitta.Ndugu wana jamii forum,kama tunataka kama taifa kuondokana na mikataba mibovu ya madini,inayoleta hasara ikiwemo ishu ya mchanga wa dhahabu kusafirishwa nje.Dawa ni kuwa na katiba MPYA
Siku hiyo ni sawa na kuzaliwa upya kwa Taifa;Hivyo mikataba yote iliyoingiwa chini ya katiba ya zamani itakuwa expired. Kwa hiyo kuanza mikataba upya kulingana na katiba MPYA. Hii ndiyo dawa ya kweli katika kuondokana na mikataba mibovu inayoligharimu taifa.
Naomba kuwasilisha.
Ndugu wana jamii forum,kama tunataka kama taifa kuondokana na mikataba mibovu ya madini,inayoleta hasara ikiwemo ishu ya mchanga wa dhahabu kusafirishwa nje.Dawa ni kuwa na katiba MPYA