Jenseny
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 1,743
- 1,738
Asalaaam alyeikum! Bwana yesu asifiwe!
Imekua ni kawaida kwa ndugu marafiki na wapenzi kushindwa kuwaaambia marafiki ndugu au wapenz wao juu ya ugonjwa huu wa kunuka mdomo unaosababishwa na mabaki ya chakula mdomoni! Kutokupiga nswaki kwa muda mrefu maji yenye magadi na mengineyo mengi
Mahitaji
Limao moja tangawizi kipande kimoja chumvi nusu kijiko au kijiko cha chai dawa ya mswaki
Jinsi ya kutengeneza dawa
Saga tangawizi kwa kutumia crator au kikwagulio saga kijiko kimoja tu cha chakula
kamua limao moja changanya na tangawizi hadi ibadilike rangi mchanganyiko utakua wa rangi ya njano
Weka chumvi kijiko cha chai au nusu kijiko cha chakula
Kisha weka dawa ya mswaki inayotosha huo mchanganyiko
Changanya tena hadi dawa chumvi na limao viwe pamoja
Piga mswaki kwa kutumia mchanganyiko huo
Vumilia kuwashwa piga asubuhi na jioni
Kadiria dawa / mchanganyiko huo hadi uumalize kwa mara 2
Jiangalie kwenye kioo utaona tofauti meno yatakua meupe sana na kama ulikua na harufu mbaya mdomoni itakata
Inashauriwa kutumia dawa hii angalau mara 2 kwa mwezi ili kufukuza kabisa wadudu wanaotoboa meno na kuleta harufu mbaya mdomoni
Sharing is caring