Jaribu 'fade out" nilimnunulia mke wangu ilimsaidia sana.inapatikana nairobi duka la dawa ndani ya "sarit centre"
Dr. Mzizimkavu
Nina ujauzito wa miezi mitatu, ninatapika mara kwa mara, je kunavitu au matunda ninayoweza kula ili hali hii ipungue??
nilienda hospital nikapewa dawa funali NOSIC zilinisaidia kidogo lakini hali ikawa palepala nakunywa na naendelea kutapika.
duh, ngoja nipite nisije ulizwa mm