Dawa ya kuondoa magamba juu ya pua

Dawa ya kuondoa magamba juu ya pua

mari3mar

Senior Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
185
Reaction score
77
Wakuu za mchana mwema. Pua yangu imekua inakauka mda mrefu sasa. Yaan inatoa magamba juu ya ngozi na nikiwa na mafua ndio kabisaa. Naomba kujuzwa dawa gan nitumie kwa ambao wana uwelewa wa jambo hili.
 
Back
Top Bottom