M mari3mar Senior Member Joined Oct 26, 2013 Posts 185 Reaction score 77 Aug 6, 2014 #1 Wakuu za mchana mwema. Pua yangu imekua inakauka mda mrefu sasa. Yaan inatoa magamba juu ya ngozi na nikiwa na mafua ndio kabisaa. Naomba kujuzwa dawa gan nitumie kwa ambao wana uwelewa wa jambo hili.
Wakuu za mchana mwema. Pua yangu imekua inakauka mda mrefu sasa. Yaan inatoa magamba juu ya ngozi na nikiwa na mafua ndio kabisaa. Naomba kujuzwa dawa gan nitumie kwa ambao wana uwelewa wa jambo hili.