Dawa ya kuondoa makovu

white rose

Member
Joined
May 24, 2015
Posts
61
Reaction score
22
Habari wana JF,
Naomba msaada tafadhali.
Nimekuwa na tatizo la makovu kwa muda mrefu. Makovu haya yalitokana na vidonda nlivyokuwa napata nikiwa mdogo kutokana na allergy.
Haya makovu yamekuwa yakinikosesha amani sana. Tafadhali naomba msaada wenu.

AHSANTENI.
 
Pole lakini kuna dawa ya kuondoa makovu kweli.?
Tusubiri wataalamu.
 
ipo nyingine ni.eisahau jina lakini anza na moja inaitwa PRINCESS inakuwa kwenye tube.
 
mimi nina dawa ya kuondoa harama na madoa mwilini pia na chunusi tu ila makovu hapana kwa kweli
 

Una Utani Na Wakurya Na Wana Mkoa Wa Mara ( Musoma ) Kiujumla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…