mirymicaiah605 Senior Member Joined Apr 6, 2014 Posts 107 Reaction score 17 Jun 24, 2014 #1 Jamani JF doctor dawa ya kuondoa vile vipele wakati wa kushave ni ipi?
M Manselly JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 456 Reaction score 130 Jun 24, 2014 #2 mirymicaiah605 said: Jamani jf doctor dawa ya kuondoa vile vipele wakati wa kushave ni ipi????? Click to expand... kumekua kmya coz hujaeleweka na hujawa specific. Kuna maeneo meng ya ku shave yanayoweza toa vipele sa hujasema kwenye ndevu au maeneo ya ikulu manake czan kama dawa zinafanana
mirymicaiah605 said: Jamani jf doctor dawa ya kuondoa vile vipele wakati wa kushave ni ipi????? Click to expand... kumekua kmya coz hujaeleweka na hujawa specific. Kuna maeneo meng ya ku shave yanayoweza toa vipele sa hujasema kwenye ndevu au maeneo ya ikulu manake czan kama dawa zinafanana
mirymicaiah605 Senior Member Joined Apr 6, 2014 Posts 107 Reaction score 17 Jun 24, 2014 Thread starter #3 Yah ikulu nazungumzia