Dawa ya kuongeza apetite

Tafadhalini naomba kwa anayejua dawa ya kuongeza anijuze,iwe ni hebal or clinical kwangu sawa,please kama huna la kuchangia naomba upite tu kuliko kuweka utani na vitu kama hivyo,hii ni serious ishu wakuu


Achana na chemicals we kula Matunda one hour before meal utashangaa Tango, papai sio kila tunda linakupa appetite




alfredmkohiatgmaildotcom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…