Dunia hii sistaajabu concerning women beauty, kuna dada mmoja yupo ana saloon yake ktk njia ya kuingilia kwangu, ni jirani tuseme, kaniomba zawadi ya dawa ya kuongeza makalio, tena yupo serious, kasema angekuwa na hela angenunua wala asingeniomba au nimkopeshe fedha nikamwuliza kulikoni uhangaike wakati yeye mrembo tu?
Jibu lilinishtua kidogo, eti ana marafiki zake wawili wote walitumia dawa za kuongeza makalio na wakaolewa chapchap, tena si wazuri kama yeye kwa sura, eti yeye angepata T.A.K.O angekuwa na mume wa nguvu, so yeye ana vyote isipokuwa makalio ya Rumbesa kama wanavyoita is very marketable, ushauri plse.
Mwambie mwanamke nyonga ni makalioDunia hii sistaajabu concerning women beauty, kuna dada mmoja yupo ana saloon yake ktk njia ya kuingilia kwangu, ni jirani tuseme, kaniomba zawadi ya dawa ya kuongeza makalio, tena yupo serious, kasema angekuwa na hela angenunua wala asingeniomba au nimkopeshe fedha nikamwuliza kulikoni uhangaike wakati yeye mrembo tu?
Jibu lilinishtua kidogo, eti ana marafiki zake wawili wote walitumia dawa za kuongeza makalio na wakaolewa chapchap, tena si wazuri kama yeye kwa sura, eti yeye angepata T.A.K.O angekuwa na mume wa nguvu, so yeye ana vyote isipokuwa makalio ya Rumbesa kama wanavyoita is very marketable, ushauri plse.
,mbombo ngafu
asa si awaombe hao marafiki zake waliiotumia na kuolewa,wenyewe ndio maexpert,kwa nini anakuomba wewe??au umekaa kama muuza makalio???:happy::happy::happy::happy:
Mwambie afanye research yake vizuri. Kuna wengi wana makalio na wapo wapo tu na kuna wasiyo nayo pia wapo wapo tu. Atafute sababu halisi ya yeye kutoolewa siyo anajibu swali gumu kwa jibu jepesi
Dunia hii sistaajabu concerning women beauty, kuna dada mmoja yupo ana saloon yake ktk njia ya kuingilia kwangu, ni jirani tuseme, kaniomba zawadi ya dawa ya kuongeza makalio, tena yupo serious, kasema angekuwa na hela angenunua wala asingeniomba au nimkopeshe fedha nikamwuliza kulikoni uhangaike wakati yeye mrembo tu?
Jibu lilinishtua kidogo, eti ana marafiki zake wawili wote walitumia dawa za kuongeza makalio na wakaolewa chapchap, tena si wazuri kama yeye kwa sura, eti yeye angepata T.A.K.O angekuwa na mume wa nguvu, so yeye ana vyote isipokuwa makalio ya Rumbesa kama wanavyoita is very marketable, ushauri plse.

NI Kweli kabisa...kuolewa kuna mambo mengi sana ndani,

ingekuwa ni uzuri wa nje tu basi LU SIII K I B A K W E E,

ASINGEKUWA MOJA MWANAMKE......lol

Wee mwache mama yangu na A.n.n.a.a je?