Dawa ya kuongeza nguvu za sperms

kamanyora

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
209
Reaction score
133
Wadau naombeni kujuzwa nguvu yakuongeza sperms.
 
naona ufafanue...hauna sperm production ya kutosha au ni vipi?hali hio imeanza lini?umejaribu njia/vyakula vyovyoote vya asili kuongeza idadi ya hizo mbegu kama kula vyakula vyenye protini nyingi kama karanga,walnuts,binjira,lozi matunda kama ndizi,mbogamboga kama aspargus,nyanya,spinachi,vingine kama pilipili,tangawizi,vitunguu suamu n.k
 

Mimi 49 umeolewa et ka bado naomba nikuchumbie nisiwe naishiwa tumbegu twangu , maana utanilisha pilipil swaumu umesema na nyanya eeh duh nahis kachumbali aisee, Mimi49 kwa heshima yako kunywa whisky nakuja kulipa kwi kwi teh teh
 
Wakuu wa nchi nani anayejua dawa za phamacy zenye uwezo wa kuongeza mbegu za kiume kutoka zero mpaka kiwango kinachotakiwa.

Hizi za mitishamba nimeshakula kama debe mbili na nusu hamna kitu .

Msaada please.
 
Ilo tatizo linasovika na chakura bt co madawa nliwai kuskia kwenye kipindi vyakura km maboga na mbegu zake pia matikiti maji na mbegu pia ushajaribu
 
Kwanini mnashindia chips wwnaume wa siku hizi mnaumwa nini? sasa nani kakwambia sperms zinaongezwa kwa dawa wakati vyakula unavikimbia?
 
Mkuu kula chakula cha asili pia usisahahu soya loweka saa moja hv baada ya hapo mwaga maji toa maganda weka chumvi kaanga kama karanga. Zikiwa tiyari anza kula. Mbegu za maboga nazo unazikaanga pia. Mbegu za matikit unashauriwa utafune ni Yale meusi. Sio haya matikiti yenye milaba.
 
Wakuu wa Nchi nani anayejua Dawa za phamacy zenye uwezo wa kuongeza mbegu za kiume kutoka zero mpaka kiwango kinachotakiwa ,hizi za mitishamba nimeshakula kama debe mbili na nusu hamna kitu .Msaada please.

Chukua asali vijiko viwili changanya na mdalasini kijiko kimoja, lamba mchanganyiko huo asubuhi na jioni kwa muda wa siku 30 inshallah mungu atakufanyia wepes!!!

Aidha, unaweza ukatumia dawa za Kichina zinaitwa zinc supplements, maelezo yake haya hapa.....

Zinc Capsules
Product Code: A11
Contents: 60 capsules x 0.2 g
Zinc is involved in over 80 types of body
enzymes synthesis. We need zinc for our body
development, genetic immunity, endocrine
system, maintain our nerve mucous health.
Zinc is needed for activities of over 200 types of
enzymes. Lack of zinc will cause imbalance in
our body, this is why zinc is known as “flower of
life”. Studies and researches done by scientists’
show the malformation is significantly related to
lack of zinc intake. Therefore, during pregnancy
we need zinc to ensure the fetus is well
developed.
Zinc helps in the multiplication, development and
growth of cells. Insufficient intake of zinc will
slow down the development of children, and may
cause small body frame. It is also significantly
related to the intelligence development of the
children,as well as to strengthen body immune
system, maintaining and helps the development
of eye sight.
Current study indicates that male infertility is
related to lack of zinc. Zinc is significantly
affecting the quality of the semen and sperm
and also irritates the development of the sex
glands. Researches show that human brain
hippocampus is taking control of our nerves
activities, language learning, memory and logical
thinking. If the hippocampus’s zinc content is
decreasing, then we face problems like loss of
memory, movement disorders, thought disorder
senile dementia.
Suitable for: Healthy growth, especially children,
improve learning result and eye sight power etc.
Main Benefits
Zinc has been considered an essential element
since the 15th century. It activates more than
100 different enzymes in the body, including
visual and digestive enzymes. Studies show that
zinc accounts for one-sixth of the brain. It is
core to advanced thinking, important in learning
language and storing information. Zinc deficiency
may lead to memory loss, movement impediment
and muddled thinking. It may cause early onset
of dementia.
The amount of zinc added in Tiens Zinc
supplement is in line with an individual’s
recommended daily nutritional needs. Each
capsule contains 0.8-1.2mg zinc.
Zinc can be derived from food, vegetable and
meat, but the absorption rate depends on the
person’s stomach acid concentration and other
factors that may make absorption and utilisation
difficult. This supplement is composed of lactic
Zinc, which has a high rate of absorption, but not
the pernicious effects of phytate and phytic acid.
It is the ideal supplement and, we can
confidently say, the best zinc for every adult. It
also contains glucose and egg protein powder.
Functions
Essential for normal growth and development of
reproductive organs.
It is useful in the maintenance of viscera organs
in the body.
It helps eye health by converting Vitamin A to its
biologically active form to fight foggy vision &
short sightedness.
It combats infertility, low sperm count,
impotence, hormonal imbalances and frigidity.
It helps libido by improving sex drive and
preventing premature ejaculation.
It helps prevent cancers and stomach ulcers.
Who Zinc Capsules is suitable for?
Adults and children who have impaired sense of
taste and smell.
Adults who are consuming excessive amounts of
coffee, tannins found in tea, high fiber,
vegetarian diets or alcohol.
Adults who are suffering stress disorders.
Adults with poor immune or reproductive health.
Men who want to maintain a healthy prostate
and healthy sexual function.
Adults with a family history of age-realated.
Dosage
Children aged 3-7 years, 1 x 1 capsule daily;
Children aged 7-10 years, 1 x 1-2 capsules daily;
Children between 10-14 years, 1-2 x daily 2
capsules per day;
Adults 1-3 x 2 capsules daily.
Cure duration : 3-12 months. After 3 months of
taking Zinc Capsules take a break of 3 months.
 
pendelea kula chaza, ngisi na pweza, wiki tu utaona maajabu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…