Dawa ya kuongeza size ya uume!

weed

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
2,459
Reaction score
3,576
Wapi ntapata hii dawa kwa hapa dar..na gharama yake inaweza kua sh ngapi?nimeona niulize kuliko kupalamia hawa waganga wa jadi ambao wamejaa kila kona ya dar,na cdhani kama ni wa kweli.
 
kuna aina nying ya upungufu wa nyuvu za kiume!........aisimami kabsaa, unawai kumwaga au?
 
Wapi ntapata hii dawa kwa hapa dar..na gharama yake inaweza kua sh ngapi?nimeona niulize kuliko kupalamia hawa waganga wa jadi ambao wamejaa kila kona ya dar,na cdhani kama ni wa kweli.

Mkuu! Huitaji kuyapa maini kazi ya kuchuja sumu inayotokana na madawa.
Wewe google maneno yafuatayo physiotherapy&penis enlargement utajifunza mengi na mwanaume atanyumbulika mwenyewe bila msaada wa dawa. Kumbuka pamoja na vitu vingine ile kitu imeumbwa kwa misuli. Misuli ambayo ikitunishwa ina tuna kikwelikweli.
 
Wapi ntapata hii dawa kwa hapa dar..na gharama yake inaweza kua sh ngapi?nimeona niulize kuliko kupalamia hawa waganga wa jadi ambao wamejaa kila kona ya dar,na cdhani kama ni wa kweli.

Unawasiwasi na size ya KITENDEA KAZI? Jiulize kwanza kwa ulichonacho unakutumia kifanisi? Maana usijekuwa unalalamikia size kumbe taabu ni matumizi ya ULICHONACHO!
 
Agiza mkongoraa wanaouza wamasai toka arusha,kula kila siku baada ya mwezi we mwenyewe utafurahi
 
Wapi ntapata hii dawa kwa hapa dar..na gharama yake inaweza kua sh ngapi?nimeona niulize kuliko kupalamia hawa waganga wa jadi ambao wamejaa kila kona ya dar,na cdhani kama ni wa kweli.

Kwani una size gani? Ebu weka hapa tujue kama unahitaji izo dawa au la?
 
size mbona zinawatesa hivyo?mie yangu ndogo lakini ndiyo nimeridhika nayo na wife wangu..watu wanajua kucheza akili ya watu..hakuna utamu wa ngono unaosababishwa na maumbile makubwa au madogo..utandu ndiyo unaotakiwa hapo ..
 
zipo za kichina usijali ila inaweza kuburuta chini.....
 
umejuaje kama size yako ndogo? Unajilinganisha na nani? Inawezekana size ni sawa ila wanawake unaokutana nao "mbunye" zao ndo kubwa. Tambua kumridhisha mwanamke sio ukubwa wa mzakali bali utundu na maujanja yako tu!
 
nakupa pole sana kwa kushindwa kutumia maumbile uliyonayo
 
Wapi ntapata hii dawa kwa hapa dar..na gharama yake inaweza kua sh ngapi?nimeona niulize kuliko kupalamia hawa waganga wa jadi ambao wamejaa kila kona ya dar,na cdhani kama ni wa kweli.

mkuu kwa nini usingeweka uzi kutafuta mwanamke anaehitaji size ya maumbile ulonayo kuliko kutafuta kurefusha?kuna balaa unatafuta wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…