silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,278
- 1,794
Du!, kaka naomba unijulishe hiyo dawa wanasema inaitwaje?. nataka niitafute ili nimpe mwanangu anayependa sana kucheza basketball ili anywe awe mrefu kama hasheem Thabit.
Urefu na ufupi ni mipango ya Mungu, ila unene na wembamba ni bidii yako yako tu ya kura au kufanya diet.wakuu leo ni kama mara ya tatu
kuona tangazo kwenye channel
mbali mbali za India zikitangaza kuwa kuna dawa ya kuongeza urefu inauzwa kwa pesa za tz kama laki na ishirini.
yaani wanadai ukitumia dawa basi urefu wako utaongezeka.
jee kisayansi inawezekana hivi hususan kwa watu ambao ni matured kuongeza urefu kwa dawa ?
Duh! itabidi apewe jot na linah
haka "katicha" kutoka huko india mwenye urefu wa futi 3 na umri wa miaka 22 wangeanza nae kwanza ilikuthibitisha ukweliwa hiyo dawa!
View attachment 85509
View attachment 85510
Sasa hako katoto walikopiga nako picha ni kadogo kake nani kati yao, au ni katoto ka mmiliki wa shule....?Haka "katicha" kutoka huko India mwenye urefu wa futi 3 na umri wa miaka 22 wangeanza nae kwanza ilikuthibitisha ukweliwa hiyo dawa! View attachment 85509 View attachment 85510
Dawa hii iende kwa wasambaa na wazigua na waruguru tehe tehe kama ni campain mbona utapata kura zao.