Dawa Ya Kuongeza urefu (height)

Sasa hako katoto walikopiga nako picha ni kadogo kake nani kati yao, au ni katoto ka mmiliki wa shule....?

Ni mwalimu wao ndugu!ana miaka 22!
 
Pia kuna dawa dizain ya majan kutoka china ila inamaumivu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Streching exercize ukipga miezi mitatu lazima uje hapa kuhadithiaa maana unaweza kugain ata 6inches,,,,kila la khera
 
Kaka ni norditropin sio samatrophic[emoji4]
 
Dada white najua hii thread ni ya muda mrefu kidogo lakini naomba uni unganishe na huyo rafiki yako na mi nahitaji hiyo sindano nimesha zunguka katika hospitali na kwa madaktari wengi Bongo lakini sija fanikiwa
 
side effect ya matumizi yake ni zipi kwa mtu anaye ifahamu?
 
daaah hii sasa kali ya mwaka.. nachojua mimi ukuaji nimipango ya mungu pekee sasa hii inatoka wapi au ndo zile za kuongeza makalio mixer maips, tuwe makini jamani tusije jiongezea mashepu bila kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…