Dawa ya kuongeza uume

lololololololol pole mkuu. Kabla hujamuoa hamkushiriki tendo la ndoa? au uume umepungua baada ya ndoa
 
... akiguswa kwenye PELVIS... Unajua kweli weye pelvis?! Akiguswa kwenye sehemu ipi ya hiyo pelvis?! Ischial tuberosity; ischial spine; sacrum; sacral promontary; pubic arch...
 
Duuh.. Ina maana toka ulivyomtokea na kuwa wapenzi.. wachumba na mwisho muke na mume ulikuwa hujawahi kumdenya..? Au hata kumruhusu auchezee mpododo..? Au ilikuwa ni biashara ya kuuziana mbuzi kwenye gunia..?
 
... akiguswa kwenye PELVIS... Unajua kweli weye pelvis?! Akiguswa kwenye sehemu ipi ya hiyo pelvis?! Ischial tuberosity; ischial spine; sacrum; sacral promontary; pubic arch...

eeeeh! mbona unataka kumzdshia stress
 
Dawa ipo lakini mashariti yake mpaka uwe hujawahi kugegeda sasa wewe ushagegeda pole sana!
 

ila kaka, mi naona hakuna tatizo hapo!

ni wewe tu umeshindwa kutumia njia za kitaalam kuupanda mlima kilimanjaro!

mbona mwiko ni mdogo lakini unaweza kukoroga sufuria kuubwa na kulisha harusi nzima?

si unaona? ni ujanja wa mpishi tu kuongeza moto na kuupunga, kukoroga na kufinyanga vizuri, kuongeza chumvi na viungo mbali mbali, nakshi nakshi kibao mpaka chakula kinaiva vizuuri!

hebu usilaumu maungo yako bana! kuna njia za kumfikisha mwanamke kileleni.. msipandane kama ng'ombe na mbuzi!
 
Hivi hiyo dawa inayouliziwa ni natural au ni artificial na kama ni hiyo ya pili nadhani itakuwa na madhara
 

Duuh natamani nikuazime gegedo langu!mkuu we umezama kina kirefu wakati unatumia kamtumbwi we tafuta size yako tu kama haya matobo tuachie sisi...
 
Hilo ndio tatizo linalowakumba wanawake wengi siku hizi.
Unapofanya ngono na wanaume tofautitofauti k yako inatanuka sana na kinachotokea akija mtu ambaye hajajaaliwa kama mtu wako aliyepita ambaye alikua na kubwa unakua hufiki.
Mkuu nakushauri usiharibu maumbile yako kwasababu tu ya kumridhisha huyo mtu wako. Maana kesho atasema hapandi tungi mpaka uwe na makalio makubwa...je utayaongeza pia???
Huyo anakutafutia visingizio tu. Hakutaki
 
Duuh natamani nikuazime gegedo langu!mkuu we umezama kina kirefu wakati unatumia kamtumbwi we tafuta size yako tu kama haya matobo tuachie sisi...

Hahaaa Mandingo..Haya majina ni ya Africa Magharibi...Waliojaaliwa 😉

Kwa ambao tuna-vibamia..hizo nchi hatuchukui totoz..😉
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…