Dawa ya kuotesha nywele(kipara)

Tafuta kuna uzi humu ndani kuna mtu anauzaga.
 
Kuna Mghana mmoja alisema ukiisaga Marijuana na unga wake uchanganye na mafuta ya kupaka kichwani yanaitwa sulphur halafu uwe unapaka kichwani nywele zinaweza kuanza kuota tena.
Sasa sijui ni kweli au laha!
 
mimi natumia haya mafuta mazuri sana yaitwa

T444Z nilinunua zaidi ya alfu hamsOKni na saiv hata mwezi bado lakini naona mabadiliko kwa mbaali japo sio kivile ila naamini baada ya miezi mitatu kitaeleweka ..

yapo vizuri
 
uliyanunulia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…