Dawa ya kupaka baada ya kunyoa secret part

vaseline

Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
42
Reaction score
5
Msaada wana jamvi,, naomba anaejua dawa ya kupunguza kuwashwa baada ya kunyoa.
 
dawa yake usitumie wembe wakati wa kunyoa hizo sehemu. tumia hair removal cream au spray(maalum kwa kwapani na sehmu kama hizo). kuna hii moja inaitwa AGISS, ukipulizia hiyo baada ya dakika 6 vu.zi unalitoa kwa mkono. ukimaliza sehemu inabaki soft. no muwasho, no mapele!! kazi kwako bi mkubwa.
 
Mkuu, haina side effect hii kitu
 
Nasikia wembe unafanya nanilue kuwa ngumu na kupoteza sensitivity.
 
Naomba maelezo kidgo plz

mkuu, hiyo kitu imetengenezwa maalum kwa ajili ya kutoa hizo nywele na yenyewe imekuwa extracted kutoka kwa mimea. hushauriwi kutumia kama una kidonda kwenye hayo maeneo.
 
Tumia gillette shaved cream kupaka kabla ya kunyoa ndio inakua povu lako ukimaliza osha hizo sehem kwa kuweka ditto ya maji kidogo sana kwenye maji
 
We ni me au Ke, ,,,kama ni Ke pia nunua mafuta ya nazi ya Minara yanauzwa 2500 ukinyoa unapaka kwa bibi,,,kama ni mnene pia paka hayo mafuta katikati ya mapaja yanaposuguana yanasaidia kuondoa weusi na kufanya pang'ae
 
Nimekukubali binamu ntamwonyesha wifi yako hii...
 
mmea wa alovera ni dawa nzuri,unalikata kisha unajipaka utovu wake.mara 1 kwisha kabsaa.kama huna jitahd upande.
 
duh!kwel yani hapo kama kuku alienyonyolewa na maji ya moto kipala chake.
 
Msaada wana jamvi,, naomba anaejua dawa ya kupunguza kuwashwa baada ya kunyoa.

ndio umeanza kunyoa kivuzi??
je una walezi? maana ni jukumu lao kukusaidia
vipi umeenda pharmacy??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…