Dawa ya kupandisha CD4 kwa wagonjwa wa UKIMWI

pata dawa ya kuongeza cd4 kwa gharama nafuu. tuwasiliane kwa namba 0712389866

We bwana acha utapeli na wizi. Watu wenye vvu wana mahitaji muhimu mengi sana, kwa hiyo usiwaibie kwa kitu cha uongo!!! Ni dhambi
 
Kuna shirika moja linaitwa HJFMRI limewatapeli wanawake huku vijijini kwa kuwapa vijisenti na kuwafanyia research ya HIV kama panya wa maabara kwa kufanya culturing ya virus vya UKIMWI ndani ya miili ya wanadamu ili baadaye wajaribu kuviua virusi jambo ambalo haliwezekani coz hakuna dawa.
 
wewe usikute ni wale wanasumbawanga na waganga w RAMLI FAKE
na madawa ya magumash.....ni za kienyeji?
au za kizungu
ama mayai ya kanga? kiruuuu

hili gonjwa ni serious mambo ya kuwapa watu makorokocho km babu wa loliondo akauwa watu muache elezea ni dawa ya aina gani au ni virutubisho gan unatoa
uko wapi na je vimethibitishwa na tpdf.??????????.heeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…