Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kupunguza Mafuta Mwilini yanayosababisha Unene (Cholesterol) Na Mapigo ya Moyo kwa Lugha ya Kitaalamu ni (High Pressure) Jaribu unapokula chakula Kila Siku jaribu kuweka katika Kachumbari Vipunje Viwili vya Kitunguu Saumu Vilivyosagwa.Bora kufanya hivyo Kila Siku katika wakati wa Chakula. Ukitaka kujuwa Mengi kuhusu Faida ya Kitungu saumu Tafadhali bonyeza hapa [ame=http://www.google.com.tr/search?hl=en&q=to+use+garlic+to+treat+Cholesterol&sourceid=navclient-ff&rlz=1B3GGGL_enTR326TR326&ie=UTF-8]to use garlic to treat Cholesterol - Google Search[/ame]
Dawa ya Mtu Kutaka Kukonda Yaani kupunguza Uzito wa Mwili Adumu Kula Nanaa na Kunywa Siki Ya Apple Au siki Ya Zabibu kijiko kimoja kablya ya kula Asubuhi Na kabla ya kulala Usiku Na Apendelee Kunywa Maji ya Uvuguvugu Kila Siku Asubuhi Kablya ya Kula Chakula Glasi Moja na Wakati wa kulala Maji ya Uvuguvugu inasaidia sana kuondosha Mafuta ndani ya Figo na inasaidia Kuyeyusha chakula katika Mfuko wa Tumbo.
Na Dawa ingine ya Kukonda Awe Mtu anatembea Kila siku Umbali wa Kilometa 5 atoke kwake Aende huo umbali wa Kilometa 5 Kwa Miguu na Arudi Kwake Basi Unen huo utaondoka na aache Kula Vyakula Vyenye kutia Mafuta Mwilini Basi Unene Utaondoka haraka sana.