Dawa ya kupunguza maumbile ya kiume

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Nina uume kwa urefu ni zaidi ya inch7 na upana kama mguu wa mtoto!

Awali nilikuwa naona kama sifa lakini hivi karibuni nimegundua yakuwa mke wangu hafurahii tendo la ndoa na mara nyingi amekuwa akitokwa na damu baada na wakati wa tendo.

Miaka ya nyuma kabla ya ndoa nilikuwa na wapenzi tofauti tofauti na wengi walikuwa wananikimbia ktk eneo la tukio nikajua ni utoto tu wakikua wataacha.

Mbali na kumuumiza mwenza wangu pia hali hii inaniweka kwenye risk kubwa ya magonjwa ya zinaa pindi nikutanapo na wanawake wengine kwani michubuko ni kitu cha kawaida sana na mara zote kondom huchanika kwa kuwa ni ndogo sana kwangu na pia hunibana sana.

Nawasilisha naombeni msaada madaktari.
 
Picha pliz
 
Kuna msela wangu flan na yeye amebarikiwa aseee!ila anakosa dem ambae saizi yake!kuna siku alimpata dada flan anasifika kwa kina kirefu.ila jamaa alipeleka nusu dem anazidi kuulilia jamaa kupeleka hadi mwisho dem acha apige kelele eti ameingiziwa goti.yule jamaa kapata mzungu na amezaa nae sasahivi.nakushauri utafute mtasha wale kidogo wamebarikiwa mashimo
 
Kumbe cm6 tu!!! Tafuta dawa ya kuongeza maumbile mkuu, unayo mashine fupi saaaanaaa!
 
kweli yaliyomo yamo

Mkuu kungekuwa na ulazima au uwezekano wa kupunguziana angalau inch 2 hivi daa ungepata soko sema daaa nawe umezidi mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3]
 
Hivi humu JF hamna madaktari ktk jf doctor mana naona replies za kebehi tu na dhihaka kana kwamba natania ili hali mimi nipo serious nahitaji msaada.
Jf badilikeni jamani
 
Mtaani kwetu watu kama nyie waswahili wanawaita "komesha" !

Tunapenda mhogo mkubwa ila sio kwa style hiyo pita mbalii kabisa.

Tena nikukuona inbox naisi nitazimia ahahaha
Mimi napita tu sio docta najua huu uzi haunihusu.
 
hakuna dawa labda urejee biology ya o level kwenye evolution, kuna theory ya use and disuse ya Lamark nadhani itakufaa
 
Inch 6 mbona kawaida labda huo unene mguu wa mtoto [emoji16][emoji16] lazima wakimbie ch..pi mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…