piga master inasaidia sana, huyu mwanamke sio wako wameishamchakachua
ameomba ushauri kama una ushauri unapotezea tu sio kumboa m2 mana unamwongezea tatizo juu ya tatizo napls ucfate ushauri huumadhara ya master yanajulikana yapo dhahiri
mkuu hapo sikubaliani na wewe, nafikiri kuna thread nyingi humu zinaeleze faida ya master, ina release tension, ila angalizo isiwe too much, Mimi nikiwa na tension naicharaza halafu napata usingizi wa kufa mtu, ukizoea hutatamani mwanamke.
kumbe madhara yake na ww unayajua afu unazuga hapamkuu hapo sikubaliani na wewe, nafikiri kuna thread nyingi humu zinaeleze faida ya master, ina release tension, ila angalizo isiwe too much, Mimi nikiwa na tension naicharaza halafu napata usingizi wa kufa mtu, ukizoea hutatamani mwanamke.
jaribu kuwa occupied muda wako wote,usiruhusu kukaa idle tafuta shughuli ya kufanya-fanya mazoezi kama kukimbia yanasaidia sana.pole sana
Wadau naomba msaada wenu maana naona naangamia huku najiona,mimi ni mvulana nilikuwa na GF ambae nilikaa naye kwa miaka 3,then kulitokea ugomvi wa kawaida ameniambia hanitaki tuachane.
mimi bado nampenda sasa nina mawazo ambayo yamenisababishia vidonda vya tumbo,hata kufanya kazi pamoja na kusoma nasindwa.
Nisaidieni jamani nifanyeje haya mawazo yasiharibu maisha yangu na yaishe kabisa...!
Itabidi Uni PM mimi na uniambie huyo Mpenzi wako wa zamani jina lake na jina la baba yake na wewe una umri wa miaka mingapi? nitaweza kukusaidia mimi.
Acha mambo ya kichawi kwenye mapenzi, kama amemchoka acha awe huru aendelee na maisha yake.