Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 82
Nadahni wewe umeoa juzi -kati.
Nakupa miezi6 tu, graph yako ya kumdandiadandia huyo mama itashuka kwa kasi ya ajabu.
Wote tulianzia huko, lakini ile mambo ni kama kufukuza upepo, au maji ya moto-yatapoa tu!
Sasa yote hayo hizo sehemu zenu za s!r! si zitakuwa kama unyayo??
Nguvu ni mali.
Usimkufuru Mungu kwa kutafuta namna ya kujidhoofisha kwa tunu aliyokupa. Kiuungwana unachoweza kufanya kwa sasa ni kuwa na nidhamu ya matumizi ya ratiba, kwani haiwezekani ukawa unafanya kazi moja tu kila unapokuwa karibu na mwenzio.
Kwa maelezo yako unaonyesha kwamba huna majukumu mengi yanayokusumbua kama jamii nyingi za kiafrika tulivyo, cha kukumbuka hapa ni kwamba hili ni suala la wakati tuu, kama alivyochangia mdau mmoja hapo juu hayo ni maji ya moto yatapoa tu wakati wa kupoa ukifika.
Inabidi umvumilie mwenzako anaposema amechoka kwani hiyo ni tunu na starehe usiipe nafasi ya kuwa kero, na kwa kuzingatia kwamba iko siku uwezo huo utashuka jijengee historia ya kuwa binadamu msikivu, kwani utajafika wakati gari iliyokuwa inapiga START itajakuwa ya kusukuma ni wakati huo utakuwa unaambiwa twende kazi, jibu lako litakuwa CHOKA MBAYA.
Hivyo ni vyema uwe makini na matumizi ya resources za familia kwani mambo hubadilika kutokana na wakati.
"Unamaana zitakuwa ngumu kama nyayo?? hahaha kama hivyo zingekuwa nguma kama tims boot by now"
"mtoto yuko bomba ile mbaya portable flani hivi, naogopa anaweza sepa mkuu"
Wakuu kama kuna mtu anayejua dawa hii.
"Ndoa inataka vunjika kwa kuwa purupushani zimezidi wife halali kabisa na weekend ni mwendo wa taulo friday evening to monday morning, wife analalamika sana anasema hajawahi ona mtu anayepiga mzigo kiasi hiki"
Nadhani hii itakuwa ni ugonjwa
MJ
Wakuu kama kuna mtu anayejua dawa hii.
"Ndoa inataka vunjika kwa kuwa purupushani zimezidi wife halali kabisa na weekend ni mwendo wa taulo friday evening to monday morning, wife analalamika sana anasema hajawahi ona mtu anayepiga mzigo kiasi hiki"
Nadhani hii itakuwa ni ugonjwa
MJ