dawa ipo, nitajie urefu wako na uzito wako kwanza
dawa ipo, nitajie urefu wako na uzito wako kwanza
Urefu ni 160cm na uzito 56
mkuu bila shaka ww utakuwa ni mtaalam,naomba unisaidie wp naweza kupata muscle building supplements(protein powder), nafanya sana mazoezi ila mwili hauji kwa rate ninayotaka mm,niko obsessed na msuli.

Mkuu hizo muscle supplements zina madhara hasi mengi mwilini, sasa nimekuwekea kitabu kina kama kurasa 750 hivi kitakuelekeza namna ya kula ili kutengeneza hiyo misuli bila kuhitaji hizo supplements, ki-download na ukisome taratibu. Kama utaendelea kuhitaji hizo supplements hata baada ya kusoma kitabu hiki utanijulisha kwa njia ya PM.