Dawa ya kupunguza unene kwa wanaume na wanawake

lauzi96

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2014
Posts
422
Reaction score
797
wewe km unataka kupungua kitambi uwe na six pack bila hata kuangaika kufanya mazoezi magumuu ni rahisi tu km ww unafanyakazi andika barua ya kuacha kazi halafu njoo mtaani tuungane kubeba bahasha ya kaki nnakwambia ndani ya wiki 1 mafuta yote kwisha tuliokuwa mtaani asilimia kubwa tulinenepa kwa boom sasa hv km wanariadha wa mbio ndefu.
 
hahaha, nice one. watu wanahangaika bure hamna dawa ambayo unakunywa unakaa tu kisha unapungua unene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…