Dawa ya kurefusha uume na nguvu za kiume

Goba1

Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
35
Reaction score
15
Habari za majukumu wadau,naomba kuliza hivi ni kweli kuna dawa ya kuongeza uume dunian?
 
Endelea na endeleeni tu Kujidanganya kutaka kujifanya mnataka kushindana na Vipimo vyake Mwenyezi Mungu alivyompa kila Mwanaume aliyemuumba. Hizi juhudi zenu na hamu ya kila uchao tu kuja humu na Kuulizia jambo hilo hilo la mara sijui Ukubwa wa Uume au Nguvu za Kiume mngezihamishia katika Kuuliza ni wapi Fursa za Kiuchumi na Kiujasiriamali zinapatikana au tufanyeje ili Vijana tuondoke na Umasikini huu au tufanyeje ili tuiinue nchi yetu Kiuchumi bila shaka leo Tanzania ingekuwa inazitafuta Dubai, Singapore na Malaysia.

Watanzania tuna taabu sana / mno na tutaendelea kuwa hivi hivi hadi dunia ipinduke au mpaka Yesu Kristo wa Nazareth aje.
 
Una hakika gani Yesu anarudi
 
Hakuna mkuu, utatapeliwa tu, au kupata madhara ambayo hutapona, tahadhari sana mkuu usijaribu..
 
Back
Top Bottom