Tumbo lina maana pana sana kwa kiswahili. Kama ni tumbo la uzazi huna haja ya kufanya lolote,unachohitaji ni usafi wako wa kawaida na kubadilisha pads kwa muda wake. Usitawaze kwa kutia maji au vidole ndani ya uke kwani unaingiza germs ndani ya kizazi chako. Kama ni tumbo la chakula kama unahisi au una dalili za minyoo tafuta dawa za minyoo zipo over the counter katika pharmacy.