Asante! ladba nikueleze tuu last week nilikuwa na malaria nikatumia Duo-cortexin sorry sijui kama nimepatia hilo jina dozi yake nilimaliza last week siku ya ijumaa sasa naona since yesterday nimepata kiungulia kikali...ila huko nyuma nilikuwa na dalili za ulcers but nilishapewa dawa hapo aghakhan na ilitulia kabisa mkuu...