Andre02150
JF-Expert Member
- Feb 2, 2010
- 332
- 129
Natafuta dawa ya vichomi. Nauguliwa na mzee wangu vichomi (60+ years old). Mzee amefanyiwa vipimo kadha wa kadha hospital ili kubaini chanzo cha vichomi vinavyomsumbua.
Daktari amebaini ni mgandamizo wa nerves ndio unaopelekea vichomi. Hata hivyo daktari anakiri hakuna tiba halisi ya vichomi.
Ifikapo usiku maumivu ya vichomi yanapamba moto kiasi kwamba mzee halali. Naombeni ushauri nasaha wa jinsi ya kumsaidia mzee wangu na maumivu haya. Niko Dar