Dawa ya Kutibu Maumivu ya Vichomi

Andre02150

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2010
Posts
332
Reaction score
129
Natafuta dawa ya vichomi. Nauguliwa na mzee wangu vichomi (60+ years old). Mzee amefanyiwa vipimo kadha wa kadha hospital ili kubaini chanzo cha vichomi vinavyomsumbua.

Daktari amebaini ni mgandamizo wa nerves ndio unaopelekea vichomi. Hata hivyo daktari anakiri hakuna tiba halisi ya vichomi.

Ifikapo usiku maumivu ya vichomi yanapamba moto kiasi kwamba mzee halali. Naombeni ushauri nasaha wa jinsi ya kumsaidia mzee wangu na maumivu haya. Niko Dar
 
Mkuu mjaribishie mzee supu ya kuku wa kienyeji. isiungwe labda kitunguu tu bila chumvi. MATOKEO YASIPOKUA MAZURI NI PM. Mpe mzee pole sote tunaelekea huko huko
 
Jukwaa hili halitembelewi na waganga/madokta. Labda uende JF Doctors ukutane na akina MziziMkavu ambao watakusaidia.Tumwombe INNOVATOR apeleke hii thread huko.
 
Last edited by a moderator:

Konyagi
 
Hilo tatizo hata mimi huwa linanipata ila nadhani nikila vyakula vya gesi sana ndio napata vichomi
 
Natafuta dawa ya vichomi. Nauguliwa na mzee wangu vichomi (60+ years old). Mzee amefanyiwa vipimo kadha wa kadha hospital ili kubaini chanzo cha vichomi vinavyomsumbua.

Daktari amebaini ni mgandamizo wa nerves ndio unaopelekea vichomi. Hata hivyo daktari anakiri hakuna tiba halisi ya vichomi.

Ifikapo usiku maumivu ya vichomi yanapamba moto kiasi kwamba mzee halali. Naombeni ushauri nasaha wa jinsi ya kumsaidia mzee wangu na maumivu haya. Niko Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…