Dawa ya kutibu taifodi & u.t.i

Chogotz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
236
Reaction score
105
Ninamtoto anasumbuliwa na ugonjwa wa taifod na u.t.i...,je kuna tiba yadozi moja kuweza kutibu magonjwa yote kwa wakati mmoja?
 
Ethromycin ni dawa nzuri kwa hayo yote uliyataja
 
Ninamtoto anasumbuliwa na ugonjwa wa TAIFOD NA U.T.I...,JE KUNA TIBA YADOZI MOJA KUWEZA KUTIBU MAGONJWA YOTE KWA WAKATI MMOJA?
Wa kwangu aliugua juzi kati nikaandikiwa clavam bid 228.5 mg/5mls oral suspension ila nenda hospital
 
Ninamtoto anasumbuliwa na ugonjwa wa TAIFOD NA U.T.I...,JE KUNA TIBA YADOZI MOJA KUWEZA KUTIBU MAGONJWA YOTE KWA WAKATI MMOJA?
Mtoto wako Asipo pona kwa dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kumtibia ili aweze kupona kwani hayo maradhi uliyoyataja yamekuwa ni Maradhi sugu yasiyoweza kutibika Ma-hospitali siku hizi aka (Chronic Disease) Nitafute kw awakati wako nimtibie mtoto wako apate kupona.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
Mzizi mkavu, si kweli kwamba UTI na Malaria zimekuwa chronic na hazitibiki hospitali. Magonjwa haya yana dawa zake na yanatibika kama mgonjwa akifanyiwa uangalizi na kutumia dawa stahiki kwa mujibu wa miongozo ya afya.
 
Nenda hosp, wakishampima na kuconfirm ni Typhoid na U.T.I ataandikiwa dawa, zingatia matumizi yake na jali muda wa kumeza.

Magonjwa hayo yanatibika vzr hospitali. Usijaribu kumtibu kienyeji. Kikubwa zaidi zingatia usafi wa mwili, mavazi, chakula na makazi ya mtoto na jamii yako kwa ujumla hasa maji na choo. Epuka matumizi ya sabuni zenye kemikali kali.

Ningekuandikia dawa, ila ni vzr ukampa mtoto dawa uliyoandikiwa hospitali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…