Dawa ya kutibu tatizo la nyonga

Dawa ya kutibu tatizo la nyonga

SHIGOTTO

Senior Member
Joined
Sep 4, 2018
Posts
156
Reaction score
282
Wandugu habari za kutwa, ninashida ya ugonjwa wa nyonga upande wa mguu wa kulia, jambo ambalo ni la muda wa wiki sasa.

Nimeenda Agakhan Hospital na kupiga x ray ambao imeonyesha kuna hilo tatizo la nyonga.

Dawa nilizopewa basically ni za kutuliza maamivu lakini sijapata nafuu! kama kuna mtu ana fahamu tiba ya tatizo hili basi naomba msaada wake.
 
Mkuu...
Kwanza naomba nikupe pole kwa maradhi.
Ebu jaribu kupitia hii link hapa chini, pengine utapata msaada kwa tatizo linalo kusibu.
 
Back
Top Bottom