Habari za saa hizi wana JF. Naomba kwa yeyote anaejua dawa ya mtoto wa miezi kumi anatoa udenda. Kuna mtu aliniambia nichukue kitumbua nikipake ule udenda halafu nimpe aidha Shangazi au Mjomba wa mwanangu ale hicho kitumbua, tatizo litakuwa limekwisha. Nimefanya hivyo lakini tatizo bado lipo. Nisaidieni wana JF.
Umejaribu kwenda hospital?niliwahi kusikia kwa bibi mmoja kuwa huwa wanasuguliwa na dawa ya kienyeji au majivu .watafute wamama wenye umri mkubwa wakusaidie lakini huwa unaacha kutoka automatical