Brown73
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 1,100
- 682
Habari za kazi ndugu wananchi?
Kama invayo onekana hapo kwenye kichwa cha habari, Na sijui kama niko kwenye jukwaa sahihi au labda tungeomba lifunguliwe jukwaa lingine linalo husu KILIMO.
Nina ulizia ni dawa ya aina gani ya kuweka kwenye mahindi ili yasigongwe na wadudu? Kwa ajili ya kuyatunza kwa muda mrefu? Maana miaka ya mwisho ilikua tunauziwa dawa fake, sizo na nguvu kabisa.
Wakulima huko vijijini walipata hasara kubwa sana. Kiasi kwamba yale mahindi walio hifadhi kwa ajili ya chakula yali haribika.
JE. Kuna aina gani za dawa? Na zina patikana wapi?
JE. Kuna njia nzingine za kiasili ili kuepukana na chemicals?
Na Je hizi dawa ambazo hazija chhanganwa na majivu ili muuzaji apate faida kubwa zina patikana wapi au duka gani?