Dawa ya kuvimba korodani moja

Dawa ya kuvimba korodani moja

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Kuna ndugu yangu amevimba korodani ya upande wa kushoto kama jipu limekuwa
Na maumivu ya ghafla na kumnyima raha
Lina mdomo mdogo ambao hutoa majimaji likikamuliwa

Hospital alichoma sindano ila uvimbe bado upo mgumu

Ikiwa mtu anajua dawa yake hata ya kienyeji atuambie
Asante
 
Pole sana ,nenda taasisi ya saratan ukampime ,isije ikaleta madhara makubwa badae .
Mungu amsaidie
 
mwambie aende hospitali korodani si jambo la kuchezea!
 
Kuna ndugu yangu amevimba korodani ya upande wa kushoto kama jipu limekuwa
Na maumivu ya ghafla na kumnyima raha
Lina mdomo mdogo ambao hutoa majimaji likikamuliwa

Hospital alichoma sindano ila uvimbe bado upo mgumu

Ikiwa mtu anajua dawa yake hata ya kienyeji atuambie
Asante
Achemshe majani ya Mwarubaini kisha anywe kikombe 1 asubuhi kikombe 1 mchana na kikombe 1 usiku kwamuda wa siku 5 au siku 7 atapona hayo maradhi yake.
 
Kuna ndugu yangu amevimba korodani ya upande wa kushoto kama jipu limekuwa
Na maumivu ya ghafla na kumnyima raha
Lina mdomo mdogo ambao hutoa majimaji likikamuliwa

Hospital alichoma sindano ila uvimbe bado upo mgumu

Ikiwa mtu anajua dawa yake hata ya kienyeji atuambie
Asante
Chemsha mizizi ya mkwizingwi kunywa kikombe kimoja kutwa mara 2 siku 5
 
Back
Top Bottom