Kapime na hiyo ,ni ushauri tu lkn sio lazima, huwezi jua yawezekana ukawa ndo ule ugonjwa wa mheshimiwa mstaafu.Alipima ultra sound sio saratani
Achemshe majani ya Mwarubaini kisha anywe kikombe 1 asubuhi kikombe 1 mchana na kikombe 1 usiku kwamuda wa siku 5 au siku 7 atapona hayo maradhi yake.Kuna ndugu yangu amevimba korodani ya upande wa kushoto kama jipu limekuwa
Na maumivu ya ghafla na kumnyima raha
Lina mdomo mdogo ambao hutoa majimaji likikamuliwa
Hospital alichoma sindano ila uvimbe bado upo mgumu
Ikiwa mtu anajua dawa yake hata ya kienyeji atuambie
Asante
Chemsha mizizi ya mkwizingwi kunywa kikombe kimoja kutwa mara 2 siku 5Kuna ndugu yangu amevimba korodani ya upande wa kushoto kama jipu limekuwa
Na maumivu ya ghafla na kumnyima raha
Lina mdomo mdogo ambao hutoa majimaji likikamuliwa
Hospital alichoma sindano ila uvimbe bado upo mgumu
Ikiwa mtu anajua dawa yake hata ya kienyeji atuambie
Asante