x - mas
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 931
- 612
Hamjambo wanajukwaa,
Kama tittle inavyojieleza,
Natafuta dawa ya kuzuia hisia za mapenzi yaani sitaki kushiriki tendo la ndoa katika maisha yangu yaliyobaki.
Je, kuna dawa yoyote naweza kutumia kufanikisha hazma hii? Lengo la kufanya hivi nikutokana na maoni yangu kuhusu mapenzi naamini kufanya mapenzi ni chanzo cha umasikini, majuto, mateso, udhalilishaji, utoaji wa mimba, magonjwa, uchafu, migogoro, stress n.k.
Naamini kwa kufanya hivi sitamuathiri mtu kwani sijaoa kama unaijua hiyo dawa nisaidie tafadhali.