hamjambo wanajukwaa!kama tittle inavyojieleza natafuta dawa ya kuzuia hisia za mapenzi yaani sitaki kushiriki tendo la ndoa katika maisha yangu yaliyobaki.
je,kuna dawa yoyote naweza kutumia kufanikisha hazma hii?lengo lakufanya hivi nikutokana na maoni yangu kuhusu mapenzi naamini kufanya mapenzi ni chanzo cha umaskini,majuto,mateso,udharirishaji,utoaji wa mimba ovyo,magonjwa,uchafu,migogoro,stress n.k.
naamini kwa kufanya hivi sitamuathiri mtu kwani sijaoa.kama unaijua hiyo dawa nisaidie tafadhali.