sir. Mwasongwe
Senior Member
- May 30, 2015
- 106
- 75
Mimba iliyopita y kwanza aliambiwa miez mitatu ipite ikapita lakin kazin alipata shida sana. Sasa saiz akataka kujua kama kuna njia yoyote ya kuzuia hii
Peleka mada yako jukwaa la jf Doctor kama unataka ushauri wa kitaalamu..
humu utaongezewa kichefuchefu
Blood is thicker than water.Mbona wewe unamind sana mimba ya Dada ako kuliko mwenye Mimba (mme wake)
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za mida hii wanajf.
Ninashida nahitaji msaada wa kitaalam. Dada yangu akipata ujauzito tuu miezi ya mwanzo anatapika sana na kuishiwa nguvu sana. Je kuna utaalamu au dawa yoyote ya kuzuia hali hii kutokea? Maana ni mfanyakazi.
Naombeni msaada katika hili
Natanguliza shukrani kwenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unatuthibitishia dada yako huwa anapanua miguu analiwa ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitaalamu hii inaitwa Hyperemesis gravidarum nitatizo linalompa mjamzito katika miezi ya mwanzoni
dalili kuu kichefuchefu,kutapika sana,kupungua uzito, pia anaweza kupata Dehydration.Matibabu mpeleke hospital atatibiwa vizuri tu usije ukajaribu kutafuta dawa bila ya ushauri wa daktari Asante