Rejea somo tajwa.
Naomba kujua dawa ya muwasho wa ndevu baada ya kuzinyoa pia kichwa kwa sie wapiga dongo kitambo maana huwa KERO nikinyoa ndevu/kichwani pia wapi nitapata smoother na Bei zipoje?
Karibuni wajuvi
Usiwe unanyoa hovyo.
Ndevu zinyoe kwa kufuata uotaji wake kama unatumia viembe nyoa kutokea kidevuni kuja shingoni na sio shingoni kuja kidevuni utapata mapele tu na mamiwasho.
Usiwe unanyoa hovyo.
Ndevu zinyoe kwa kufuata uotaji wake kama unatumia viembe nyoa kutokea kidevuni kuja shingoni na sio shingoni kuja kidevuni utapata mapele tu na mamiwasho.