Kama kuna mtu anaijua basi aiseme
Jamani naona dawa zmetajwa nyingi sana,,naomba mwenye kujua dawa ya kuondoa upara anisaidie yani ni shida.
Kwa kweli wadau mnasikitisha mnavyotoa majibu mepesi na yasiyo ya msingi wala maana kwa hoja nzito.
Kama mtu anatoka kipara akiwa na miaka 20 kwanini asipate wasiwasi na kuchukulia kuwa huo unaweza kuwa ni ugonjwa..?
Kama huna jibu pita kimya kuliko kuonesha jinsi akili yako inavyoishia pafupi.
Acha kuziba watu midomo, wengine tunapona kwa kucheka. We vipi!
Kuwacheka wagonjwa?yale majukwaa ya ucheshi huyaoni?kila jambo linamahali pake wacheni kutuchanganyia habari hapa.
We tab vipi? Kwani aliyekwambia upara ni ugonjwa ni nani? Soma alichoandika.
Acha jazba,kumbe upara kayika umri mdogo ni afya eeeh?
upara ni ugonjwa wewe au haujasoma biology. it is a defect !