Dawa ya kuzuia wadudu baada ya kupruni miti ya matunda

Aqua

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
1,657
Reaction score
1,231
Habari wanajamvi,

Naulizia ni dawa gani naweza kutumia baadaya kupruni miti ya matunda kupaka au kuspray sehemu niliyoikata lengo likiwa ni kuzuia wadudu au magonjwa yanayoweza kupitia sehemu hiyo iliyokatwa.Naomba niujulishwe jina la dawa ambayo hutumika kwa lengo hilo kutoka kwa mtu ambaye alishafanya hili jambo.

Natanguliza shukurani.

Reagrds

Aqua
 
Umeprun kwa namna gani mpaka uache kovu au kidonda?
 
Dawa tumia Lead oxide ile inayo tumiwa na mafundi wa kutengeneza milango na madirisha ya chuma kupaka kuzuia kutu. Hii paka pale ulipo kata hakuna mdudu kuingia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…