angalia pia afya ya ngozi yako. kula matunda na jitahidi unywe maji japokuwa kuna baridi. kulamba lips kila wakati inaharibu lips zaidi manake unachukua unyevunyevu wa asili. kuna lip balm za vaseline for healing,zinapatikana supermarkt. pole,tahadhari,usinyofoe magamba ndo unaharibu zaidi na ku-expose layer za chini ambazo hazijadhurika