Short na Long Call Kama haja ndogo ni ''short call'' Haja kubwa ni "long call" Basi kujamba iitwe "missed call"
[emoji87] [emoji87] [emoji87]......na kukojoza.....
Jaribu kwangu sifa zote ninazoMie huwa nampenda mwanamme kama alivyo hata asiponipa pesa! Mahaba yake, figure yake, lugha yake, utundu wake, kujali kwake hata kama sio pesa, anavyo respond na mengineyo mengi. Mie NAPENDA KUPENDWA
hahaahhah dadu tehe teheJaribu kwangu sifa zote ninazo
Na ziada usizozijua
Unajua kuogelea hata kama hakuna bahari?hahaahhah dadu tehe tehe
jamani uwiiiii MBAFU SANGU mieeeeeee hahahahahahahah daduuuuuuUnajua kuogelea hata kama hakuna bahari?
Unajua kufurahi hata kama ni sehemu ya kucheka
Chikira usijaribu kupenda mahali pa fundi viraka utabaki usiondoke
Niliposoma tu heading nikasema kimoyomoyo,huyu jamaa akisema dawa nyingine tofauti na pesa namtukana.Bahati yako umelenga mlemle,ningekula ban hivi hivi.Pesa...
Mwaaaaaahhh..!!
We mpaka Magu anasema kuna watu wanaishi kama malaika,sasa atakata mirija yao ya fedha ili waishi kama mashetani.Pesa sabuni ya roho bhana,ona mzee Mengi anavyokula vinono.mie siamini kama ni pesa labda wanawake zenu wa kuokota ndo wako hivyo