hugochavez JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 1,907 Reaction score 1,009 Jan 16, 2015 #1 heshima kwenu wakuu. nini tiba ya hilo tatizo.
Makonsigwa Senior Member Joined Mar 19, 2011 Posts 177 Reaction score 76 Jan 16, 2015 #2 hugochavez said: heshima kwenu wakuu. nini tiba ya hilo tatizo. Click to expand... Na kwa nini mtu ukatafute tatizo hilo huko, kukiwa hivyo? Kinyaa hakuna au ugwadu umezidi kipimo.......ovyo kabisa!
hugochavez said: heshima kwenu wakuu. nini tiba ya hilo tatizo. Click to expand... Na kwa nini mtu ukatafute tatizo hilo huko, kukiwa hivyo? Kinyaa hakuna au ugwadu umezidi kipimo.......ovyo kabisa!
khalfan56 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 639 Reaction score 136 Jan 17, 2015 #3 kwani unaona dalili gani sababu hakuna madhara makubwa
Guus JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,139 Reaction score 842 Jan 17, 2015 #4 Mmehamia huku eeh baada ya Serikali kuwapiga marufuku!
hugochavez JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 1,907 Reaction score 1,009 Jan 19, 2015 Thread starter #5 Makonsigwa said: Na kwa nini mtu ukatafute tatizo hilo huko, kukiwa hivyo? Kinyaa hakuna au ugwadu umezidi kipimo.......ovyo kabisa! Click to expand... kama hujui kaa kimya acha kuropoka jukwaani.unatia aibu
Makonsigwa said: Na kwa nini mtu ukatafute tatizo hilo huko, kukiwa hivyo? Kinyaa hakuna au ugwadu umezidi kipimo.......ovyo kabisa! Click to expand... kama hujui kaa kimya acha kuropoka jukwaani.unatia aibu
hugochavez JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 1,907 Reaction score 1,009 Jan 19, 2015 Thread starter #6 khalfan56 said: kwani unaona dalili gani sababu hakuna madhara makubwa Click to expand... uchovu wa mwili na maumivu ya mgongo
khalfan56 said: kwani unaona dalili gani sababu hakuna madhara makubwa Click to expand... uchovu wa mwili na maumivu ya mgongo
Makonsigwa Senior Member Joined Mar 19, 2011 Posts 177 Reaction score 76 Jan 19, 2015 #7 hugochavez said: kama hujui kaa kimya acha kuropoka jukwaani.unatia aibu Click to expand... Kama unajua na unaamini huropoki na wala hutii aibu jukwaa si ueleze badala ya kujaa povu
hugochavez said: kama hujui kaa kimya acha kuropoka jukwaani.unatia aibu Click to expand... Kama unajua na unaamini huropoki na wala hutii aibu jukwaa si ueleze badala ya kujaa povu