AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Shukran nyingine ya kumnywesha nini...?Abnal
Unadondoshea kwenye pua kuzibua
Ni nzuri sana
Dawa ya 1. MAZIWA YAKO MNYONYOSHE VYA KUTOSHAJamani ni dawa gani naweza msaidia mwanangu mafua maana nimemuona ana mafua...nahisi sababu ya mvua hizi...
Je naweza mpa dawa gani ya mafua ya watoto itakayomsaidia bila madhara...?
Ana kg 8 na kuendelea, alafu umri ni miez 6 kuelekea sita kasoro wiki 2
Kwa umri huo hushauriwi kumpa mtoto madawa ya kunywa kunywaJamani ni dawa gani naweza msaidia mwanangu mafua maana nimemuona ana mafua...nahisi sababu ya mvua hizi...
Je naweza mpa dawa gani ya mafua ya watoto itakayomsaidia bila madhara...?
Ana kg 8 na kuendelea, alafu umri ni miez 6 kuelekea sita kasoro wiki 2